Sunday, December 25, 2011

SALAMU ZANGU KATIKA SIKUKUU HIZI NJEMA!

Jinsi Mwaka unavyokaribia mwishoni, ninachukua nafasi hii kuwakumbuka watu maalumu waliogusa maisha yangu....Marafiki, Wadau na Ndugu wote walioonyesha kujali na kufanya maisha kuwa ni ya maana zaidi kwangu. Wewe Mdau wangu unaetembelea hapa; KAZI YAKO NI JINA LAKO, ni mmoja wapo....Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukupa mema mengi yote.

- Nakutakia X-mas njema na Happy New Year 2012.

No comments:

WATEMBELEAJI