Wakazi wa Jiji la Mwanza wanaojishughulisha na kilimo cha mbogamboga, wakisafirisha matenga ya nyanya kwenda sokoni hivi karibuni, kama walivyonaswa na mpiga picha hii...kando kando ya barabara kuu ya Mwanza - Musoma.
Nyanya ni moja ya mazao muhimu sana katika matumizi ya kila siku majumbani mwetu!
- Picha na Mkuu Father Kidevu.
No comments:
Post a Comment