Friday, January 13, 2012

BIDHAA BANDIA ZAITESA DODOMA!

BIDHAA FEKI ZIKIPAKULIWA KUTOKA KWENYE GARI KWAAJILI YA KUCHOMWA MOTO.

Mkoa wa Dodoma ni moja ya Mikoa iliyoathiriwa na uingizwaji na matumizi ya bidhaa feki (bandia) hapa nchini.
Mkoa huu unatajwa kuwa ni kitovu cha kutunga sheria, kutokana na ukweli kuwa Bunge lipo Mkoani hapo na viongozi wengi hufika Dodoma kwa shughuli za Kiserikali na hata wakati wa vikao vya Bunge.

- Picha na Sifa Lubasi.

No comments:

WATEMBELEAJI