Thursday, January 12, 2012

WANAJESHI KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKOJOLEA MAITI.



Wanajeshi wa Marekani wa Kitengo cha Marine Scout Sniper Team 4, watafikishwa Mahakamani baada ya kukiuka haki za Binadamu....kwa kukojolea maiti za maadui zao wa Talibani.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Huu si ubinadamu kabisa hata wanyama tu hawafanyi hivi sasa sijui ni CHUKI au nini?

WATEMBELEAJI