Simplest Wedding...pikipiki ya Boda boda, mwendo mdundo tuu, Bibi harusi, Best man! oh n a Few hardly noticeable flowers on the bike.
-Jenny B.
Hizi ndo harusi zinazo takiwa kwa Tanzania, maana tu maskini bado huwa tunafanya mi harusi ya mikubwa kama nini, baada ya hapo wanaharusi wanalala n njaa, sasa ndo nini hii!
No comments:
Post a Comment