Wednesday, May 26, 2010

GARI LA MSAFARA WA RAIS KIKWETE ''LILILO BUMA ZIARANI''.


Gari aina ya shangingi la msafara wa Rais Jakaya Kikwete lililo buma (lililo haribika) Jijini Dar es salaam, maeneo ya Kimara - Morogoro Road. Makubwa!

2 comments:

Bennet said...

Hili gari linatumia gia box ambayo ipo katika mfumo wa umeme (EPS) kwa hiyo inakuwa na namna mbili (opti cruise) kwa hiyo unweza kuiendesha kama automatiki au manyo, huyo dereva kama angepelekwa kozi ya kuendesha gari hilo wala RAISI wetu asingehitajika kushuka kwa sababu angehamia kwenye manyo kiulaini

Bennet said...

samahani EPS ni electronic power shift

WATEMBELEAJI