JAMAA ZANGU WA OVERLAND WAKIENDELEA NA SAFARI AFRIKA.
Huyu ni Dereva mkali sana, yupo fit sana na anajali sana sheria barabarani ili asisababishe ajali yoyote na kuteketeza wasio na hatia yoyote, je wewe vipi?? Unajali sheria kama yeye???
Jamaa zangu wa OVERLAND, wakiendelea kutuletea zawadi nzuri ya Pichazz kutoka sehemu mbalimbali Barani kwetu Afrika, ambapo bado wanaendelea na safari yao kwa kuelimisha jamii na kutoa misaada mbalimbali. Safari njema sana OVERLAND, ingawa ni safari nguvu sana.
1 comment:
Hawa jamaa ni watu wema sana nami natamani kukutana nao siku moja wakifika kwetu.Naomba kukutana nao ili niwape mkono wa pongezi.
Post a Comment