MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII;
Bwana alikuwa tegemeo langu, akanitoa akanipeleka panapo nafasi, akaniponya kwa kuwa alipendezwa nami.
Ee Mungu Mwenyezi, tunakuomba uyaongoze mambo ya ulimwengu huu yafuate utaratibu wako ili tuwe na amani; sisi wanao tupate furaha ya kukutumikia kwa utulivu.
No comments:
Post a Comment