
1). Watanzania wanahitaji mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM.
2). Watanzania wanahitaji kiongozi anayetambua matatizo yetu, na matatizo hayo yana mkera. Alitaja baadhi ya matatizo ni;
- RUSHWA.
- UMASKINI (Aliwakemea kuwa CCM siyo Chama cha Matajiri).
- UDINI.
- UKABILA, nk.
Je tunashughulikia vipi matatizo haya?
Kiongozi bora si yule anaye wapeleka watu wake pale anapotaka yeye wawepo.
-Wala kiongozi bora si yule anaye wapeleka watu wake pale wanapotaka wao wawepo.
Bali kiongozi bora ni yule anaye wapeleka watu pale wanapo stahili kuwepo.
No comments:
Post a Comment