MANEO YA JUMAPILI HII;
Uniangalie na kunifadhili ee Bwana, maana mimi ni mkiwa na mteswa. Utazame teso langu na taabu yangu, unisamehe dhambi zangu zote.
Ee Mungu wewe hudanganyiki katika maongozi yako, tunakuomba sana uyaondoe mambo yote yanayotudhuru na kutuletea yote yanayotufaa.
No comments:
Post a Comment