Timu yetu ya Cesena mwaka huu inaenda vibaya sana katika Ligi kuu ya daraja la kwanza ya Italy aka (SERIE A). Msimamo wa Ligi tunashikiria mkia kwa kuwa na pointi 3 tu! mechi zilizochezwa ni 9, nadhani msimu huu tutashuka daraja. Hapa kwenye video hii mashabiki mbalimbali wakihojiwa baada ya mechi ya jana dhidi ya Timu ya Lecce, tulifungwa 1-o. Na mimi nikiwemo katika kuhojiwa, utaniona kuanzia dakika ya 7 ya video hii.
No comments:
Post a Comment