Monday, November 7, 2011

MIAKA 50 YA UHURU-HATA WAJAWAZITO SASA TUTAWAPELEKA ......

........TUTAWAPELEKA INDIA KUJIFUNGUA.


Tunaadhimisha miaka 50 tangu Tanganyika ipate uhuru wake kwa mkoloni, lakini ya kujivunia kwa mambo lukuki kuwa TUMETHUBUTU, TUMEWEZA NA SASA NCHI INASONGA MBELE....lakini katika hili la afya hasa wodi za akina mama wajawazito bado hatujaweza kabisa kuondoa kero ya vitanda na wodi katika Hospitali zetu nyingi. Serikali haina budi kuamka sasa na kunadi shangingi 1 kila Wizara au Taasisi kubwa ili kununua hata vitanda na kujenga wodi za akina mama hawa. Lisipofanyika hili haraka itafikia hatua kiongozi fulani akitaka kujifungua atapelekwa India maana huduma zetu hazikidhi kiwango.




- Picha kwa hisani ya Father Kidevu.

No comments:

WATEMBELEAJI